Ungana nasi kwa Kiajemi

13/12/2018 - 1 dakika za kusoma

Imesasishwa: 26/10/2021



Psiphon ina furaha kutangaza uzinduzi wa mitandao yake ya kijamii ya lugha ya Kiajemi! Tunajivunia kutoa muunganisho wa kuaminika na wenye ufanisi nchini Iran, na tumepanua uwezo wetu ili kusaidia kuboresha uzoefu wa watumiaji. Njia hizi zitafungua fursa mpya za mawasiliano na kurahisisha mchakato wa maoni kwa watumiaji wa Kiajemi kote ulimwenguni.

Tunakualika uungane nasi ili upate taarifa mpya kuhusu Psiphon, au uwasiliane na timu yetu ya lugha ya Kiajemi! Tupate kwenye Twitter, Facebook na Instagram.



شبکه‌های اجتماعی سایفون به زبان فارسی هم راه‌اندازی می‌شود. ما به تلاش برای فراهم کردن ارتباط مطمئن و موثر در ایران افتخار می‌کنیم و به دنبال بهبود ظرفیت کمک و بهتر‌کردن تجربه‌ کاربران در ایران هستیم. شبکه‌های اجتماعی

.فارسی زبان سایفون مسیر‌های ارتباطی جدیدی را برای دریافت نظرات کاربران ایرانی باز می‌کند
.برای ارتباط با ما حساب فارسی سایفون در توییتر، صفحه فیس‌بوک و اینستاگرام سایفون را دنبال کنید
Habari za KampuniIrani

Soma inayofuata